下一个

Episode 45: Sherehe ya chura | Episode nzima ya Akili and Me | Katuni za watoto

47 意见· 12/29/22
Ọbádélé Kambon
192

Akili na rafiki wamemwaga chakula cha Mother Forg bahati mbaya! sasa wanatakiwa kujifunza lugha mpya: Pika! Na kumsaidia Mother Forg kupika vyakula vyote kwa ajili ya sherehe ya chura.

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!

Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/Akil....iKiswahili/featured?

Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

http://www.akiliandme.com
http://www.facebook.com/akiliandme

Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains

#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe

显示更多

 0 注释 sort   排序方式


下一个